Pages

Jumatatu, Julai 27, 2015

Makundi hayavunjiki kwa kauli

Makundi ya ushawishi hayavunjiki kwa kauli tu, juhudi zifanyike na wahusika wakutane ili kutafuta vyanzo vya hizo tofauti, hiyo ni siri kuu, wahusika wakutane, watoe dukuduku zao kwa uwazi na wakubali kuziondoa tofauti zao.KAULI PEKE YAKE HAITOSHI.Ujumbe huu na Balozi Christopher Liundi

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom