Pages

Ijumaa, Julai 17, 2015

"RUDISHA KITU PALE ULIPOKICHUKUA"


Kuna watu wasumbufu wanapochukua kitu mahali fulani na hawakumbuki kukirudisha au kukiweka pale walipokikuta. Mtu mwingine akikitafuta kitu kilekile hupoteza wakati na kumfanya kuhangaika.TUJENGE NIDHAMU YA KURUDISHA VITU PALE VINAPOHIFADHIWA.Ujumbe huu na Balozi Christopher Liundi.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom