Pages

Jumatatu, Julai 13, 2015

UNACHOKIPENDA SIKU ZOTE KITAKUWA KIZURI,,,YAPENDE MAISHA YAKO NA YATAKUWA MAZURI

Ukiyachukia maisha na yenyewe yatakuchukia, ila ukiyapenda maisha basi utafanya juhudi ili ufanikiwe na kuwa na maisha mazuri, sikuzote yapende maisha yako ili kuwa na maisha mazuri ni sawasawa na kuipenda kazi yako huwezi kuwa unafanya kazi halafu hauijali wala kuipenda lazima haitafanikiwa, lakini kama unaipenda kazi yako utaifanya vizuri na itakuwa ya mafanikio.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom