Pages

Jumanne, Julai 21, 2015

"Uongozi mzuri ni kuwasikiliza walio chini yako"

Uongozi mzuri, si kuwaambia watu cha kufanya, Uongozi mzuri ni kuwasikiliza walio chini yako, kujua ni wakati gani wa kuwajibika na matatizo ya walio chini yako na kuyatafutia ufumbuzi, huku unahakikisha wanapata tuzo kwa kila kazi nzuri ya kimedani wanayofanya kwa umahiri.Nukuu ya Meja Jenerali  Marcia Andreson, mwanamke mweusi wa kwanza kuwa Jenerali Marekani.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom