Pages

Jumapili, Agosti 02, 2015

"Ni muhimu kujua na kutafakari kwanini unapendwa???


Siyo kila anayesma anakupenda basi anakupenda kutoka moyoni, na siyo kila anayesema anakukubali katika kazi zako anamaanisha kutoka moyoni. Kwani kuna baadhi ya watu watakupenda pale tu wanapohitaji kitu kutoka kwako, au wanakupenda kwasababu kuna kitu wanakipata kutoka kwako. Lakini siku ikitokea ukawa hauna tena kile wanachokitaka, basi utaona upendo unaanza kupungua au watu hao wasionekane tena hata pale utakapohitaji msaada wao. NI VYEMA KUWA MAKINI BINADAMU HAWATABIRIKI.

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Nimeyakubali haya maneno. Ahsante..unanipendwa.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom