Pages

Jumapili, Oktoba 25, 2015

NIMETIMIZA HAKI YANGU YA MSINGI YA KUPIGA KURA

Mungu ibariki Tanzania sasa tunasubiri matokeo na maisha mengine yaendelee kama kawaida, soon utaendelea kupata mambo mazuri kupitia blog hii baada ya kuwa kimya kwa muda, tuendelee kuwa pamoja wadau wa simulizi na ujumbe mbalimbali za kijamii nawapenda sana.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

hii ni marayako ya ngap kupiga kura?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom