Pages

Jumatano, Septemba 23, 2015

"Kama unafikiria kushinda, basi ujue wewe ni mshindi"

Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo unakutana nazo ili ufike pale unapotaka kufika lakini sikuzote kama unafikiria ushindi basi ujue kuwa utakuwa mshindi muhimu usikate tamaa kwani hakuna ushindi bila changamoto, nawapenda wadau tuendelee kuwa pamoja.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom