Pages

Jumatatu, Januari 11, 2016

"Njia ya mtu muongo ni fupi"

Katika maisha tunakutana na watu mbalimbali wakiwemo marafiki ambao tunawaamini kwa namna moja au nyingine. Lakini inapotokea ukapata rafiki mwenye tabia ya uongo kiukweli huwa inakera sana, kwani sikuzote ni vigumu kumuamini mtu anayesema uongo.

 Na wakati mwingine unaweza kukuta mtu yule anayesema uongo ni mtu ambaye unamuamini sana, sasa pale unapogundua kuwa anapenda kuzungumza maneno  ya uongo, basi kuwa makini usimuamini mtu huyu, ndiyo maana waswahili husema ni bora mchawi unayemjua kuliko yule ambaye haumjui.

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Nimeipenda hii na ahsante kwa elimu utoayo Adela!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom