Pages

Jumatano, Januari 06, 2016

"Unachokitazama kinaweza kuwa kizuri kwa muonekano lakini ni muhimu kukichunguza"

Habari wadau wa Della media ni matumaini yangu mko poa na tunaendelea vizuri na mwaka mpya 2016, katika maisha unaambiwa siyo kila king'aricho ni dhahabu hivyo ni vyema kuchunguza kabla ya kukiamini kwa aisilimia mia moja. 

Mara nyingi watu hujikuta wakiingia katika matatizo kutokana na kutotafakari kabla yakutenda ama kupenda kitu bila kuchunguza ijapokuwa waswahili husema bata ukimchunguza huwezi kumla lakini ni bora usimle kuliko ukala kitu kibovu, tuendelee kuwa pamoja nawapenda sana.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom