Pages

Alhamisi, Februari 25, 2016

Ni muhimu kuwa na msimamo lakini kuwa makini na jambo unalolisimamia,

Kujiamini ni jambo la msingi sana katika maisha, ikiwa ni pamoja na kuwa na msimamo, lakini wakati mwingine ni muhimu kuwa makini katika kila jambo yawezekana ukawa na msimamo katika jambo ambalo litakuingiza katika matatizo, lakini kama unasimamia penye ukweli, basi hakuna shaka kwani pia usipokuwa na msimamo katika jambo la kweli katika maisha yako utaishi maisha ya kunyanyasika sana jambo la msingi ni kuwa makini kwa kila jambo.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom