Pages

Alhamisi, Machi 17, 2016

Jifunze kupitia changamoto kwani majuto ni mjukuu


Katika maisha usijutie kile ulichokifanya zamani ama kujutia maisha uliyopitia zamani, kwani hakuna mambo mazuri bila changamoto, jambo la msingi usikate tamaa mambo mengi tunajifunza kutokana na makosa hivyo kama ulishakosea zamani basi kaa na utafakari nini umejifunza ili usirudie yaliyotokea.

 Usikae na kujutia kila wakati, kwani kufanya hivyo mambo mengine katika maisha yako hayatasonga mbele hivyo sahau yaliyopita ugange yajayo.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom