Amini usiamini....
Hivi unajua kua mtoto ambaye amezaliwa leo ukimpima urefu anazidi ndoo ya lita 20?
habari ndiyo hiyo..... kama huamini mtafute mtoto mpime na asipozidi ujue atakuwa mbirikimo maisha yake...
by Njenga
Maoni 1 :
Adela mwambie njenga aache kutudanganya nitafuta
mtoto mdogo nimpime mmmh kazi kwelikweli
Chapisha Maoni