Alhamisi, Septemba 16, 2010

Mwenzio anakupa mahaba mazito, halafu wewe unaleta mapozi ,,haipendezi jamani

Raha ya mapenzi wawili kupendana na si kumtegemea mmoja ndiye aonyeshe mapenzi zaidi ya mwingine,ushirikiano unaleta furaha na siku zote unajenga,mwenzio akionyesha anakupenda sana na wewe muonyeshe hivyohivyo na si kuleta mapozi ya hapa na pale, kwasababu tu unajua kwako ndio kafika, si tabia nzuri vinginevyo utakuwa haujampenda kiukweli.....

Maoni 4 :

Bila jina alisema ...

Ni kweli uyasemayo tena mambo hayo huwa yanatokea sana kama mtu uliye naye hajakupenda me nadhani kama unampenda mtu utamjali utamsikiliza pia utamthamini

Bila jina alisema ...

wa2 kibao hutegeana sana kwny suala zima la mapenzi hudhani kuonyesha ufundi jukum la m1 2badilike 2shilikiane jamani by ARON JOHN

Bila jina alisema ...

ya r8 adela....si vyema mara zote pale inapotokea kupendwa alafu wewe unaleta mapozi na kuzuga kua wampenda pia mwenzi wako kumbe wampaka mafuta kwa mgongo wa chupa....inauma sana pia inakera vibaya,,yakupasa kuonyesha mapenzi ya dhati pia kwani ulimwengu wa sasa ukimpata yule ukupendaye yakupasa kushukuru sana....mapenzi ni matamu pale mpendanapo kwa dhati!!!!!!

ADELA KAVISHE alisema ...

asanteni sana tuko pamoja,,,raha ya mapenzi ni kushirikiana katika kila kitu,,,hayo mapozi ya hapa na pale ni ushamba tu sema unakuta mtu halijui hilo..

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom