Unatakiwa kuwa na uhusiano ulio huru na furaha wakati wote kwani kulalamika bila kutafuta ufumbuzi wa tatizo haisaidii zaidi inaongeza matatizo |
Usitake mwenzio akufanyie mazuri wakati wewe haumfanyii mazuri,, KUWA MAKINI USIMPOTEZE UNAYEMPENDA. |

Maoni 3 :
Adela! umenena mapenzi ni kutendeana si mmoja tu amtendee mwenzie hapana. Ni sawa na ukiwa na rafiki wewe unampigia simu au unamtumia ujumbe lakini yeye wala hajali ...unafika wakati unakata tamaa na urafiki unakufa. kwa hiyo mtendee akutendeaye utaona utamu wake:-)
kabisa, ila kuna mijianaume mingine eti umpende tu, umuheshimu, umumie msg asijibu, ukiacha kutuma anauliza oooh mbona cku hz hutui msg nzuri nzuri, he jamani INAHUSUUU....
ano namaba 2 nimeipenda hawa wanaume ndio walivyo...ila ndio watoto wetu tufanyaje sasa...
Chapisha Maoni