Vipodozi vya asili navipenda sana kwani kwa ujumla havina gharama na vinanisaidia kuitunza ngozi yangu na kuiweka afya yangu salama tumia sasa nauone faida zake. |
Vipodozi vya asili navipenda sana kwani kwa ujumla havina gharama na vinanisaidia kuitunza ngozi yangu na kuiweka afya yangu salama tumia sasa nauone faida zake. |
Maoni 6 :
Adela! ahsante sana kwani hata mie huwa napenda vitu vya asili kama hivi. Ngoja nijaribu Lakini umesema asali mbichi ukiwa na maana gani?
@Yasinta tuko pamoja kipenzi asali mbichi ni ile itokanayo na nyuki wachanga ni nzuri sana na husaidia katika mambo mengi.
Kweli kumbe haina haja kukimbilia madukani kununua mavipodozi yaliyowekwa makemikali...umesaidia wengi Adela
asante sana my dear, be blessed...
Ni kweli kabisa,vipodozi asili ni bora na matokeo yake ni mazuri.Asante sana
mmh! csta Adela ila ukipita mtaan utakuta asali nyingi tu zinauzwa, sasa utaijuaje ipi ni mbichi?, naomba msaada wako tafadhali.
Chapisha Maoni