Lusi katika pozi ni mwanafunzi wa kidato cha pili. anapenda sana kuwa Enginier ujumbe kwa wenzangu bila malengo huwezi kufanikiwa. |
Emaculate katika pozi mwanafunzi wa kidato cha pili anapenda kuwa Daktari ujumbe wake anakuambia elimu ni kila kitu tusome kwa bidii |
Abel katika pozi mwanafunzi kidato cha nne anapenda kuwa Acountant ujumbe wake vijana ni muhimu kujitambua ili tuweze kufikia malengo yetu..... |
Maoni 3 :
si uwongo ni kweli kabisa. Ahsante Adela kwa ujumbe huu.
Education for liberation. Elimu kwanza badala ya kilimo kwanza!
Mwanzo mzuri, twawatakia kila-laheri!
Chapisha Maoni