Jumatatu, Machi 28, 2011
chakula chetu mchana wa leo,,
leo nimeandaa kitu cha ndizi na nyama mixture wali kidogo chakula hiki ni kizuri sana kwa kujenga mwili,,, usiunyime mwili wako vitu vizuri kwani mwili haujengwi kwa matofali ....ila usizidishe kula sana coz utakuwa haujengi bali unabomoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
share bottom
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni