Jumatatu, Aprili 18, 2011

LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA WADAU,,HAPPY BIRTHDAY TO ME

Namshukuru Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo kwa mwaka mzima uliopita nimekuwa nikiandika kitabu cha simulizi nzuri za mahusiano kinaelimisha na kusisimua sana na hivi karibuni natarajia kukitoa  natumaini tutakuwa pamoja sana wadau,,Namuomba Mungu anizidishie maisha marefu tuendelee kuwa pamoja katika kuelimishana mambo mbalimbali pamoja sana....

Karibuni keki wadau im so happy today

Maoni 11 :

Mwanasosholojia alisema ...

Warm Birthday wishes to you Adela!

Yasinta Ngonyani alisema ...

Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa Adela. Uwe na siku njema na hiyo keki usimalize nakuja wala usifunge mlango....

Simon Kitururu alisema ...

Happy siku ya kuzaliwa kwako mtu wangu!

Unknown alisema ...

maisha marefu.

Unknown alisema ...

nakutakia maisha marefu.

Pamela alisema ...

Ade mdogo wangu hongera kwa kutimiza miaka kadhaa be blessed na uwe na furaha cku zote c leo tu love u!!!... unanikumbusha mdg wangu nae aliitwa Adela but we used to call her aunt Ade kwa vile ndo alikuwa wa mwisho kwa wanawake sa watt wote wa kaka na dada wakimwita aunt Ade sore ni nje ya mada but its a feeling.

EDNA alisema ...

Happy birthday mdada.

Rachel Siwa alisema ...

Hongera kwa kuongeza namba,Mungu akuongzee mingine mingi yenye baraka na mafanikio!!!!uwe na siku njema.

ADELA KAVISHE alisema ...

asanteni sana kwa kuwa pamoja nami tuko pamoja sana friends

nnunu alisema ...

WOOw! hongera sana,
ifurahie vizuri siku yako ya kuzaliwa mwaya!,

Bila jina alisema ...

Happy Belated Birthday Adela

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom