Ijumaa, Aprili 29, 2011

ROYAL KISSING BETWEEN PRINCE WILLIAM AND HIS WIFE CATHERINE,,

The first public royal Kissing Prince William and his wife Catherine leo ilikuwa ni siku yao harusi kubwa iliyohudhuriwa na watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Nimelipenda sana hili gauni la bibi harusi kila la heri katika maisha yao ya ndoa coz naamini maisha ya ndani ya ndoa ni zaidi ya sherehe kubwa inayofanyika wakati wa harusi, uvumilivu,upendo,amani na mapenzi ya dhati yatawale milele katika ndoa yao picha zaidi unaweza kuingia kwa http://www.dinamarios.blogspot.com

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom