Ijumaa, Septemba 23, 2011

busu lina nafasi ya kepekee katika mahusiano

Mapenzi matamu yanaenda na vionjo mbalimbali yakiwemo mabusu motomoto,,unapombusu mpenzi wako inaonyesha ishara kiasi gani unamjali na unapenda kuwa karibu yake wakati wote lakini mambo haya unakuta wanayafanya wapenzi mwanzo wa penzi lakini wakishazoeana unakuta ile hali ya kubusiana inapungua kumbuka ni vyema ukawa makini usijisahau katika mapenzi yaani kuwa karibu na mwenza wako wakati wote na si kwa msimu
kuwa mbunifu usibweteke wewe mwenyewe unahusika kulinda penzi lako na kulifanya liwe la furaha milele.


Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom