Jumanne, Septemba 13, 2011

"Naitwa Yohana natafuta marafiki wa kuchati nao

natafuta marafiki wa kuchati nao katika email na kubadilishana mawazo, Naitwa Yohana ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na ni mtumishi serikalini. sichagui dini wala kabila na marafiki wawe wa jinsia yoyote ile. mengi tutazidi kufahamishana pindi tuwasilianapo. marafiki wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

sasa wewe mbna hujaweka cmu namba wala e-mail kweli watakupata vipi watu.

Nancy methew alisema ...

my email address babynancy.methew@gmail.com

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom