Ni muhimu kulifahamu hili kwani kwa asilimia kubwa wanaume ndiyo wameonekana kuwa wanastahili kutoa mahitaji ya kila kitu kwa mwanamke hususani pesa,, lakini wanawake tusijisahau na kubweteka kwani kumtegemea mwanaume kwa kila kitu si tabia nzuri ni muhimu kujishughulisha hata na wewe unauwezo wa kumsaidia mwenza wako kwa kufanya hivyo utakuwa ni mwanamke unayejiamini na kujitambua |
Maoni 2 :
Kweli ni ujumbe mzuri na ni kweli ni muhimu kujiamini na kujitambua. Ahsante kwa ujumbe.
Ujumbe mwanana kabisa!
Chapisha Maoni