zingatia mapambo ya mwili kama mikufu, hereni saa ya mkononi, bangili , pete na kadhalika na pia itapendeza ukiwa nazo tofauti tofauti ili ikusaidie katika kujinakshi na nguo zako. Pia hakikisha kabati lako ama begi lako la nguo lina nguo muhimu za kazini, nyumbani, na za kutokea na hii itakupa urahisi wa kupangilia mavazi yako pindi upatapo safari ya dharura kwa kuzingatia haya unaweza tembelea blog ya mwanadada mrembo pichani http://www.8020fashion.blogspot.com utapata kuona mitindo ya aina mbalimbali na watu wanavyopendeza kwa kujipangilia mavazi kulingana na sehemu husika |
Maoni 4 :
Adela asante kwa ushauri kipenzi
jamani wewe unangozi nzuri unatumia nini nipe siri mwenzio naitwa Sara
pamoja sana mamito ushauri mzuri mwanamke kujipamba mwenzagu
pamoja sana mamito ushauri mzuri mwanamke kujipamba mwenzagu
Chapisha Maoni