kujituma, kujali, kujiheshimu, kujikubali, na kutambua wajibu wako ni jambo la msingi sana MAISHA NI KUTAFUTA NA SI KUJIBWETEKA, usikubali kuwa golikipa yaani mama wa nyumbani bila kujishughulisha wanawake tunaweza tukiwa na nia na uthubutu bila kuogopa. NAWAPENDA SANA WADAU WANGU WOTE TUENDELEE KUWA PAMOJA . |
Maoni 3 :
NA PIA WANAWAKE TUKUMBEKE TUNAWEZA NAWE PIA UWE NA SIKU NJEMA PIA
nakupenda pia mdada
Pamoja sana Wanawake tunaweza
Chapisha Maoni