Alhamisi, Machi 08, 2012

Happy Women's Day . Ujumbe wangu wa leo

kujituma, kujali, kujiheshimu, kujikubali, na kutambua wajibu wako ni jambo la msingi sana MAISHA NI KUTAFUTA NA SI KUJIBWETEKA, usikubali kuwa golikipa yaani mama wa nyumbani bila kujishughulisha  wanawake tunaweza tukiwa na nia na uthubutu bila kuogopa. NAWAPENDA SANA WADAU WANGU WOTE TUENDELEE KUWA PAMOJA .

Maoni 3 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

NA PIA WANAWAKE TUKUMBEKE TUNAWEZA NAWE PIA UWE NA SIKU NJEMA PIA

lulu ibrahim alisema ...

nakupenda pia mdada

Bila jina alisema ...

Pamoja sana Wanawake tunaweza

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom