Alhamisi, Machi 29, 2012

MY ALBUM





NAWAPENDA SANA TUKO PAMOJA

Maoni 6 :

emuthree alisema ...

Mimi nimependa hapo kwenye kitenge, hapo hapo ndipo tuseme umevaa kivazi la taifa..Tupo pamoja, ....tuwasiliane basi mpendwa

Yasinta Ngonyani alisema ...

umetoka chicha mdada...unapendwa pia.

Simon Kitururu alisema ...

Haki ya nani nimepata dhambi! kidogo yani ADELA!! Kuhusu kitabu nakutafuta baadaye!

Bila jina alisema ...

You look good, nini maana ya LOL?
Mi mshamba fulani naomba mnijuze

Bila jina alisema ...

Adela jamani mbona unanifanya nicheat kimawazo? yaani nimekupenda kuliko maelezo ningekuwa Muislamu ningejitosa kuku-propose kabisaaaaaa ukatae mwenyeeeeeweeeeee.

Uko mzuri sana bibie una macho ya kumfanya ajinanihii...

KELVIN alisema ...

ME MACHO TU.......UMENIMALIZA KABISA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom