Harufu nzuri huongeza mvuto katika mapenzi mfano kama utumiaji wa manukato ya aina mbalimbali kama losheni, deodorant,pafyumu nk
Utumiaji wa manukato unahusisha na usafi wa mwili ni lazima uwe makini wakati wa kuoga kujisafisha kwa umakini kila sehemu ya mwili wako kisha kupaka mafuta au losheni unayotumia hapo utapata harufu nzuri iliyotulia ukiongeza na manukato yako
Kuwa makini kuchagua pafyumu iliyo na harufu nzuri iliyotulia kwani inawezekana ukachagua pafyumu ambayo ina harufu kali sana na hivyo kukusababishia mafua ama kuugua kifua au kuwa kero kwa watu wengine kutokana na harufu ya pafyumu uliyochagua.
Mapenzi yanahitaji usafi, ubunifu, ili kuongeza mvuto wakati wote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni