Kitabu kinapatikana Jengo la Shopaz Plaza Lililopo Old Bagamoyo Road ukielekea Mikocheni katika A Novel Idea Bookshop ambapo ipo ghorofa ya kwanza tu ndani ya jengo hilo |
Vilevile kinapatikana SALAMANDA BOOKSHOP POSTA maeneo ya Samora, NA KARIAKOO UTAKIPATA CORODS UHURU BOOK SHOP ipo Roundabout ya mtaa wa Msimbazi na Lindi kwenye jengo kubwa la Vodacom |
Kwa walio Mkoani Mwanza pia vinapatikana lakini pia kwa aliye mbali anaweza kutumiwa alipo na kwa walio karibu pia anapelekewa alipo akihitaji gharama ni sh 5,000 tu |
A NOVEL IDEA BOOKSHOP kuna vitabu vya aina mbalimbali |
Asanteni sana kwa wadau walioniunga mkono hadi hivi sasa tuendelee kuwa pamoja jipatie nakala ya kitabu hiki kilichosheheni simulizi za kusisimua zinazolenga moja kwa moja maisha yetu ya kila siku. |
kavisheadela@yahoo.com
+255652343430 AU +255752817444
Maoni 3 :
Nimekipenda sana kitabu chako Adela kinafundisha sana uko juu wangu endelea hivyohivyo
Yap hiki kitabu nimekinunua good idea nasubiri na kingine wangu
Asante kwa maelekezo Adela nitakitafuta kitabu nikisome kinaonekana kina simulizi nzuri hongera mdada
Chapisha Maoni