Brandy Rayana Norwood (amezaliwa 11 Februari 1979) ni mwimbaji kutoka nchi ya Marekani |
Akiwa na rafiki yake Monica Arnold waliwahi kufanya vizuri sana na single ya THE BOY IS MINE |
Akiwa na mdogo wake anayeitwa Ray J ambaye pia ni msanii |
Nimependa kukuwekea picha zake mbalimbali navutiwa sana na sauti yake nyororo katika wimbo wa PIANO,LONG DISTANCE,RIGHT HERE na nyngine nyingi |
Kutokana na sauti yake kuwa nzuri Brandy amejipatia umaarufu mkubwa kama Princess of RNB |
Brandy akiwa shoping na mtoto wake anayeitwa Sy'ray |
Maoni 1 :
Tupo pamoja sana
Chapisha Maoni