Jumatano, Aprili 25, 2012

NYOTA WA LEO

Brandy Rayana Norwood (amezaliwa 11 Februari 1979) ni mwimbaji kutoka nchi ya Marekani

Akiwa na rafiki yake Monica Arnold  waliwahi kufanya vizuri sana na single ya THE BOY IS MINE

Akiwa na mdogo wake anayeitwa Ray J ambaye pia ni msanii



Nimependa kukuwekea picha zake mbalimbali navutiwa sana na sauti yake nyororo katika wimbo wa PIANO,LONG DISTANCE,RIGHT HERE na nyngine nyingi

Kutokana na sauti yake kuwa nzuri Brandy amejipatia umaarufu mkubwa kama Princess of RNB

Brandy akiwa shoping na mtoto wake  anayeitwa  Sy'ray

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Tupo pamoja sana

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom