X''
wako mlisitisha uhusiano then akaoa ama kuolewa'' na kila mmoja
akaridhika na hilo,, baada ya ndoa anaibuka nakuta mrejeshe uhusiano
kwamba ameshindwa kuvumilia kuwa mbali na ww na siku zote amekosa amani
na kujutia kwa uamzi aliofanya wa kuoa ama kuolewa'' kwani hajui hata
kwanini alioa alijukuta anafanya hivo ghafla,,anakosa raha, usingizi,ari
ya kazi,, yuko tayari kwa mapenzi ya dhati'' kibaya zaidi anakuonea
wivu sana kwa mpenzi mpya ulienae,, ungekuwa ww ungefanyaje?
|
Maoni 5 :
yan hivyo ndo tunavyodanganyagwa jamani kuoa au kuolewa ni jambo serios kidogo halina haraka wala kukurupuka wala kulazimishwa maamuzi ypo juu ya muoaji au anayeolewa ss nashangaa mtu anaposema alilazimishwa ni uongo amemchoka mtu wke then anasingizia tena wanaoongoza kwa tabia hzo ni wanaume kina dada naomba tuwe makini hamna jipya analotafuta zaidi ya kukutumia
yah hicho huwa ni kipindi kigumu sana kama kinakufikia ni bora ukisikilizie kwa mwenzako.ninachotaka kusema hapo nini!kila binadamu huwa tunakale kaasili ka kujutia jambo hii nikwa kila mtu,lkn mtu akisha olewa au kuoa haunabudi kuziba masiko yako kwa pumba zake za maneno anayo kwambia hata kama mlikuwa mnapendana kupita maelezo kile kitendo cha kuolewa/kuoa ndo ilikuwa mwisho wa mapenzi yenu.coz hakuna lahana kama kujamiana na mke wa mtu ama mume wa mtu.
Ukisahaoa au kuplewa milango mingine yote imefungwa,mambo ya kusema `najuta twe marafiki, hapo anasaliti kundi la wanandoa.
Kwani kakosa nini huko anakosema `anajuta' na huko kwa X wake atapata nini cha zaidi,...nyama ni ile ile,kinachotakiwa ni chachandu kwa wingi, ..
Wewe X akikujua mfunde,mpe elimu ya jinsi gani ulikuwa ukimfanyia,`kwa maneno' ili akajipe darasa na mke wake.....
Maana hapo ni tamaa....
Mhhhh!!!!!!!!!! ladies be care fully, uongo mtupu
fukuzia mbali kule maana ni upuuzi kwani wakati anafanya maamuz alikushirikisha, wapo wengi mno wa hivyo
Chapisha Maoni