Nikafananisha na hii hivi kuna ukweli kuhusu hizi alama jamani mi nahisi labda ni swaga tu kwasababu wengine hutumia bila hata kujua maana yake kwasababu sikuhizi kila unachokifanya utasikia kinahusishwa na jambo fulani
Vijana walikuwa wanasalimiana kama hivi
Maoni 2 :
DAVID JERMOS
alisema ...
ADELA hao wanao wapakazia watu mbovu tu,mi sina uhakika zaidi kama hiyo ndo alama ya hao jamaa mafreemason,coz huwezi kumtambua mchawi alafu wewe sio mchawi!!!!!!
Maoni 2 :
ADELA hao wanao wapakazia watu mbovu tu,mi sina uhakika zaidi kama hiyo ndo alama ya hao jamaa mafreemason,coz huwezi kumtambua mchawi alafu wewe sio mchawi!!!!!!
Utawajua tu ukijua siri zao. Maana ni vigumu kuwatambua kwa uwazi.
Chapisha Maoni