Jumatano, Juni 06, 2012

FILAMU INAKUJA HIYOOO WADAU WA FILAMU

Nisha kupitia Facebook amesema "yana siri nzito sana,,ni story yangu ya kweli,,mwezi huu inaingia sokoni,,kwa mara ya kwanza nimedirect,produce,kutunga story na kucheza...I AM PROUD OF IT,,,chini ya NISHAS FILM PRODUCTION(2GTHR INTERTIMENT),,Inasambazwa na S.A.S O INTERTIMENT

Maoni 2 :

DAVID JERMOS alisema ...

hiyo tunaisubiri kwa hamu sana daela,big up sana!!!

Bila jina alisema ...

Kila mtanzania ssasa hivi ni director, prodyuza na mwandishi wa script na ana act pia...jamani heeeee

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom