Nisha kupitia Facebook amesema "yana siri nzito sana,,ni story yangu ya kweli,,mwezi huu inaingia sokoni,,kwa mara ya kwanza nimedirect,produce,kutunga story na kucheza...I AM PROUD OF IT,,,chini ya NISHAS FILM PRODUCTION(2GTHR INTERTIMENT),,Inasambazwa na S.A.S O INTERTIMENT |
Maoni 2 :
hiyo tunaisubiri kwa hamu sana daela,big up sana!!!
Kila mtanzania ssasa hivi ni director, prodyuza na mwandishi wa script na ana act pia...jamani heeeee
Chapisha Maoni