Kuna mambo mengi yanatokea katika maisha ya mahusiano ya kimapenzi baina ya wawili wapendanao inawezekana kuna wengine wanafurahia uhusiano wao lakini kuna mwingine kila kukicha anaumizwa katika mapenzi je nini chanzo cha yote kuna mambo mengi kuosekana kwa uaminifu, kupenda usipopendwa, kutokuwa mbunifu katika mapenzi, kutokuwa na maamuzi sahihi nk lakini pia kumbuka kumshirikisha Mungu katika uhusiano ulionao MAPENZI YANAHITAJI UVUMILIVU na kujitambua.
Ili uweze kumpenda mwenzio jipende kwanza wewe yaani jikubali, jiheshimu,jiamini nk. na hivyohivyo yule unayempenda atakuheshimu atakupenda na atakujali. JAMBO LA MSINGI NI KUWA NA MAAMUZI SAHIHI TAFAKARI KABLA YA KUTENDA KUWA MAKINI NA MATAPELI WA MAPENZI VINGINEVYO KILA SIKU UTAKUWA UNAUMIA WEWE TU.... |
Maoni 3 :
Thank you for the good writeup. It in fact was a amusement account it. Look advanced to far added agreeable from you! By the way, how could we communicate?
Ni muhimu kujiuliza `kwanini imetokea hivyo...' na kujiuliza huko kuwe kwa yakinifu, yaani uchunguze, utathimini, ...na utapata jibu.
Ni rahisi sana kama utamuhusisha mwenzako, ongeeni, ulizaneni, tafuteni ni kwanini...
Mungu atawajali kamakweli nyote mnapendana na mna nia njema!
Wapo wengine wanakuonesha mapenzi yote ya kweli lakin mwxisho wa yote unakuja kumgundua kuwa ni msaliti
Chapisha Maoni