Jumatatu, Novemba 19, 2012

KUPAKA VIPODOZI HUONGEZA MVUTO LAKINI HALAHALA USIZIDISHE

Upakaji wa vipodozi katika ngozi yakounahitaji kuzingatia na mazingira unayokwenda wakati mwingine si lazima kupaka vipodozi kwani kuna mtu mwingine akiwa hajapaka vipodozi anapendeza zaidi kuliko akipaka vipodozi lakini pia kuna ambaye bila kupaka vipodozi hawezi kupendeza 


paka vipodozi kulingana na rangi yako kwani unaweza kujikuta unakuwa kituko badala ya kupendeza 
onekana mrembo jipatie katika upakaji wa vipodozi ikiwezekana pata ushauri kutoka kwa wataalamu wa masuala ya urembo

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Kweli kabisa Adela, ukiangalia picha hizo utaona wote wamepatia,ila Wema kajichafua kabisaa utadhani kinyago.

Bila jina alisema ...

Usemi wako ni mwema kabisa,kuna wengi kweli wanashindwa kujielewa.Ukitazama hizo picha zinapendeza na wanapendeza sana ukiachilia WEMA nadhani hakujielewa alijiharibu.Muone Irene, Ezekiel na huyo mzungu wanapendeza sana.Kina dada/mama angalieni ushauri wa Adela muhimu sana.Kuna watu wanajitundika mamake ups utadhani hawana vioo vya kujiangalia wajione wakoje.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom