WEMA NA DIAMOND WALIWEKA WAZI UHUSIANO WAO , lakini imekuwa ni kawaida msanii akihojiwa katika vyombo vya habari akiulizwa kuhusu uhusiano hujibu kuwa hana mchumba au hayuko tayari kuweka wazi uhusiano alionao hadi mambo yakiwa tayari lakini wapo ambao huweka bayana |
Maoni 3 :
MMM YAA SHOGA HUONI JACK WOAPLER BAADA YA KUWA WAZI YALIYOMKUTA?
Mbona wewe hujatuambia wa kwako??Hujijui kwamba na wewe ni star?
Bongo hakuna mapenzi ya kweli. Unakuta star wa bongo ana mabwana zaidi ya mmoja ambao wanampiga tafu ktk maisha ndio maana inakuwa sio rahisi kuwatambulisha
Chapisha Maoni