Mapenzi yanachangamoto nyingi kwani unaweza kuambiwa maneno matamu kama "Nakupenda sana maisha yangu bila wewe si lolote, sura yako ni faraja yangu na mengine mengi kutokana na maneno haya moyo wako ukaamini bila kuvuta subira na kuwa na uhakika wa maamuzi yako kumbe mwenzio alikuwa anakupa vionjo vya kukupata lakini mwisho wake unakuja kujuta kuchukua maamuzi ya haraka kwani MAPENZI SI LELE MAMA MAUMIVU YAKE YANAUMA SANA BE CARE KUWA NA UHAKIKA NA MAAMUZI YAKO |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni