Pages

Jumatatu, Juni 24, 2013

MY ALBUM TODAY

Namshukuru Mungu kwa kila jambo pia nawashukuru sana wadau wangu kwa kuendelea kuwa pamoja nami

nawapenda sana. TUENDELEE KWA PAMOJA

Maoni 14 :

Bila jina alisema ...

We mtt ni mkali.

Kakajambazi

Bila jina alisema ...

ur so cute

Bila jina alisema ...

Big up Adela.Mungu akupe bysara na hekima uwe kama Dina

Adela Dally Kavishe alisema ...

asanteni sana wadau tuko pamoja sana

emu-three alisema ...

Hongera mpendwa, tupo pamoja

Bila jina alisema ...

Mrembo, umenyoa ule uhea sio mbaya lkn

Bila jina alisema ...

SO BEAUTYFULL

Bila jina alisema ...

Dada umeolewa? Maana unakimbiza mbaya yan umependeza kinoma,

like ur photos

Bila jina alisema ...

WW n mkali yan nimekubali madame bt umeolewa? ur so sexxxxxxxx, like ur photos so nyce so good daahhhh.

Bila jina alisema ...

Umetokelezea madame Dahhhh,
umeolewa? so sexxxxxxxxxxxxxxx,

Bila jina alisema ...

unavutia sana baby.

Adela Dally Kavishe alisema ...

thanx much lol

Bila jina alisema ...

penda sana ww jmn,yn mzr by natural

Bila jina alisema ...

Adela, umeua bibie,yaani nimekupenda kuzidi maelezo jinsi ulivyotokeza na mkao wa nywele zako.Kumbe mnajisumbua tu na kujiongezea manywele ya bandia wakati natural hair zenu ziko bomba.You are so cute just happen to love you so much.Ila unaudhi kitu kimoja unaulizwa Umeolewa wala hujibu kwa nini au una mchumba au b/friend? Just let us know.Mimi nimegwaya sana kwako mara nyingi nimekuuliza swali hilo hujibu big WHY?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom