Katika maisha ni wazi kabisa kuna baadhi ya watu wanayotabia ya kuwadharau wawaonao, kwa kuwa tu muonekano wao na kazi zao huwatambulisha kuwa watu wa kundi la chini. Usisahau kuwa kila mtu anaweza kuwa msaada katika maisha. Binadamu tunategemeana katika kila jambo. mfano "Bosi unamdaharau na kumnyanyasa msichana wa kazi, basi asingekuwepo huyo msichana wa kazi naimani kazi zote za ndani ungezifanya mwenyewe". |
Maoni 5 :
Ujumbe wa hekima huo umeendana na picha yako, iliyokaa kihekima, kazi nzuri mpendwa
We mtt huwa unanichanganya sna.
KkJ.
asanteni friends tuko pamoja pia
safi imetulia
imetulia sana message
Chapisha Maoni