Pages

Jumapili, Juni 30, 2013

UJUMBE WANGU WA LEO...DHARAU NI MBAYA SANA ....USIMDHARAU MTU KWA MACHACHE UYAJUAYO KUHUSU YEYE.

Katika maisha ni wazi kabisa kuna baadhi ya watu wanayotabia ya kuwadharau wawaonao, kwa kuwa tu muonekano wao na kazi zao huwatambulisha kuwa watu wa kundi la chini. Usisahau kuwa kila mtu anaweza kuwa msaada katika maisha. Binadamu tunategemeana katika kila jambo. mfano "Bosi unamdaharau na kumnyanyasa msichana wa kazi, basi asingekuwepo huyo msichana wa kazi naimani kazi zote za ndani ungezifanya mwenyewe".

Maoni 5 :

emu-three alisema ...

Ujumbe wa hekima huo umeendana na picha yako, iliyokaa kihekima, kazi nzuri mpendwa

Bila jina alisema ...

We mtt huwa unanichanganya sna.

KkJ.

Adela Dally Kavishe alisema ...

asanteni friends tuko pamoja pia

Moh'd Mngojeni alisema ...

safi imetulia

Moh'd Mngojeni alisema ...

imetulia sana message

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom