SIKILIZA JE INGELIKUWA WEWE UNGEFANYAJE. KUPITIA DELLA MEDIA PRODUCTION.
MWAJEMA ANAPOKATAA KUTOLEWA MAHARI NA MWANAUME ALIYEKUWA ANAMPENDA SANA HUKU AKIWA HAJIELEWI KWA NINI ALIMKATAA MPENZI WAKE HUYO .
Maoni 1 :
Bila jina
alisema ...
mshukuru MUNGU maana hapo ulipo unaonekana unaraha zote hujui huyo wa kwanza angekuoa yepi yangetokea huwenda yangekuwa mapenzi ya munda kumbuka kushukuru kwa kila jambo
Maoni 1 :
mshukuru MUNGU maana hapo ulipo unaonekana unaraha zote hujui huyo wa kwanza angekuoa yepi yangetokea huwenda yangekuwa mapenzi ya munda kumbuka kushukuru kwa kila jambo
Chapisha Maoni