Jumapili, Machi 23, 2014

PATA MATOKEO MAZURI YA NGOZI YAKO KWA KUSAFISHA USO KWA KUTUMIA ZABIBU


Zabibu ni moja ya matunda ambayo yakitumika kwenye ngozi inaleta matokeo mazuri na kuiacha katika uhalisia wake. Unachotakiwa kufanya ni kusafisha uso wako kisha kausha uwe mkavu kabisa. Baada ya hapo chukua zabibu, pasua na uzipake usoni kwa kusugua katika maeneo yote ya uso. Kaa na matunda hayo kwa muda usiopungua dakika 15 kisha nawa kwa maji ya uvuguvugu.Ukifanya hivi mara kwa mara utaona mabadiliko katika ngozi yako fanya hivyo walau mara mbili kwa wiki ili kupata matokeo mazuri zaidi

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom