Pages

Jumapili, Machi 23, 2014

UJUMBE WA LEO


Malezi mazuri ya mtoto, ni vyema kuwa na utaratibu wa kumfundisha mtoto pale anapokosea kuliko kumchapa, Unapomchapa mtoto akikosea jambo hawezi kuelewa wapi amekosea na atashindwa kurekebisha kile alichokosea.Ni vizuri kumuelekeza mtoto pale alipokosea badala ya kumchapa ukiamini ndiyo njia sahihi.Kumekuwa na baadhi ya wazazi na walezi ambao walitumia njia ya kuwaadhibu watoto kwa kuwachapa na hatimaye kuwasabishia kuwa watukutu zaidi,ulemavu na wengine vifo kutokana na kipigo. MTOTO AFUNDISHWE ANAPOKOSEA ASICHAPWE.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom