Wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru
KAULI MBIU YA LEO "Utawala bora utumike kutatua kero za wafanyakazi’ |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni