Pages

Ijumaa, Juni 27, 2014

MANENO MAZURI KWA WAPENDANAO

"Nakupenda sana barafu wa moyo wangu, sijali maneno yao, kwani nichokiamini ni mapenzi yako na yangu, tunapendana sikuzote na wakati wote, ahadi yangu ni kukupenda hadi milele."
*************************************************************
"Maneno ya watu yasituchonganishe mpenzi mimi nimekupenda jinsi ulivyo ndiyo maana nipo tayari kwa lolote juu yako, ikiwa ni katika shida au raha, nakupenda na milele wewe ndiye maisha yangu."
*****************************************************************
"Natamani uwe karibu yangu wakati wote, popote nilipo niwe na wewe, unapokuwa mbali nakosa raha, nakupenda sana mpenzi wangu mapenzi yangu kwako ni zaidi ya chochote, wewe ni furaha ya maisha yangu."

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom