Alhamisi, Septemba 25, 2014

MANENO MAZURI KATIKA CHANGAMOTO ZA MAISHA "UMUHIMU WA KUOMBA SAMAHANI NA KUSAMEHE"

"Hakuna  binadamu aliyekamilika,hivyo unapotenda kosa ni vyema kutambua kuwa umetenda kosa na hivyo kuomba msamaha, ili maisha yaendelee. Unaambiwa ni vyema kukiri kosa kuliko kukakaa kimya au kukataa wakati ukweli ni kwamba umetenda kosa."
*************************************************************
"Unapomsamehe aliyekukosea, hakikisha huweki kinyongo, kumbuka kusamehe mara saba sabini, na pia unaposamehe ni vyema kusahau, kwani unaambiwa yaliyopita si ndwele tugange yajayo"
*************************************************************
"Ukitaka kuishi vizuri kwa furaha na amani katika maisha yako ya kila siku kumbuka kusamehe, na kuomba msamaha pale ulipokosea, kwani utakuwa huru na kusihi kwa furaha."
NA ADELA D. KAVISHE

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom