Pages

Jumamosi, Septemba 27, 2014

"Yawezekana ukakatishwa tamaa katika kutimiza malengo yako au yule anayekusadia akakata tamaa kuendelea kukusadia, lakini kumbuka wewe mwenyewe unatakiwa usikate tamaa"

Katika maisha, unapotafuta mafanikio unapitia changamoto nyingi kuna watakao kukatisha tamaa, na kuna wale waliokusaidia ama wanaendelea kukusaidia, na wakakata tamaa kuendelea kutoa msaada pia wapo ambao wanauwezo wa kukusadia lakini ukawaomba msaada na wasikusaidie. Inapotokea hali hii unatakiwa kupiga moyo konde na kuendelea kusonga mbele yaani usirudi nyuma kumbuka ukikata tamaa na wewe basi ujue unaharibu kila kitu huwezi tena kusonga mbele.USIKATE TAMAA ONGEZA JUHUDI SONGA MBELE.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom