Pages

Jumatatu, Novemba 10, 2014

USIKOSE KUFUATILIA SIMULIZI HII "KICHOMI CHA MOYO"

Simulizi hii inaelezea maisha ya  msichana Sitande, katika safari yake ya mahusiano ya kimapenzi na changamoto alizokutana nazo, kuna msemo unasema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" ama msemo mwingine unasema "kipendacho roho, hula nyama mbichi", "kikulacho ki nguoni mwako" vilevile "Usilolijua ni sawasawa na usiku wa kiza kinene" misemo hii itadhihirika kupitia simulizi hii ya kusisimua ambayo pia itaonyesha tamu na chungu ya penzi katika safari ya maisha ya mapenzi. USIKOSE UHONDO

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Ok tunasubir kwa hamu Adela. Mungu akupe afya njema na maisha marefu.

Yasinta Ngonyani alisema ...

Adela! twasubiri kwa hamu sana!!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom