Jumanne, Juni 30, 2015

"JIFUNZE KUSAHAU YALIYOPITA UGANGE YAJAYO"

Kuna mambo mengi sana tunapitia katika maisha yetu ya kila siku mengine mazuri, na mengine mabaya, na wakati mwingine tunakutana na watu wazuri ambao wana tufurahisha lakini wakati huohuo yawezekana ukakutana na mtu ambaye akakuumiza sana moyo wako iwe ni kazini, nyumbani au katika mahusiano.

 Jambo la muhimu ni kujua namna ya kukabiliana na changamoto zote nzuri na mbaya, kwani ukiweka moyoni yale yanayo kuumiza huwezi kusonga mbele, ila ukiamua kusahau nakufanya juhudi katika maendeleo yako, basi utafanikiwa hata wahenga walisema "sahau yaliyopita ugange yajayo".

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom